Karibu kwenye TOP 10 ya miji iliyotembelewa zaidi duniani au kupata Wageni wengi kutoka nje ya nchi, pamoja na umaarufu wa Afrika, hakuna mji hata mmoja wa Afrika ambao umesogelea hata kwenye 25 bora.
NAMBA 10 KUALA LUMPUR MALAYSIA
NAMBA 9 ISTANBUL UTURUKI
NAMBA 8 NI NEW YORK CITY
NAMBA 7 SHENZHEN, CHINA
NAMBA 6 NI MACAU
NAMBA 5 NI PARIS UFARANSA
NAMBA 4 NI BANGKOK THAILAND
NAMBA 3 NI SINGAPORE Imetembelewa na watu milioni 17.
NAMBA 2 NI LONDON UINGEREZA
NAMBA 1 NI HONG KONG, Huu mji ulipata wageni wa kimataifa wapatao MILIONI 27 mwaka 2014.
0 Comments