Kiongozi wa ibada alivyowashiwa moto baada ya kukatisha na hoverboard kwenye ibada

Hoverboard ni jina la kiingereza lakini sina uhakika kama kuna jina rasmi la kiswahili limepatikana kuviita hivi vifaa… ni kama fashion sasahivi utaona mastaa kibao wanapost video wanatembea navyo !! Lakini kama haujaviweza tafadhali mtu wangu, hata usithubutu kuvijaribu..
Ripoti ya stori kwenye mtandao wa BBC inasema waumini kadhaa wamemshutumuParoko mmoja wa Ufilipino ambae ameonekana akiwa anahubiri kanisani huku akikatisha juu ya hoverboard.
Hii hapa video ya Paroko huyo akikatisha na hoverboard wakati wa ibada ya Christmas Ufilipino ambapo hata uongozi wa kanisa hilo hawakupendezwa na kitendo hicho pia wanachokiona kama kuikosea heshima nyumba ya ibada.

Post a Comment

1 Comments

  1. Hoverbord is a very nice from another product. It is very useful to everybody. It's specs may not stack up well against a hoverboard like the Zapta Flyboard Air, but it's actually available for sale now. cheap hoverboards

    ReplyDelete