Jamaa mmoja huko Delhi India amemrushia kiatu Waziri Arvind Kejriwal akiwa kwenye mkutano na Waandishi wa habari ambapo kabla ya kukamatwa na kupelekwa Polisi, mrushaji wa kiatu hicho amesema alifanya hivyo sababu anakerwa na serikali iliyoko madarakani na malalamiko ya muda mrefu hayajafanyiwa kazi…….. tazama hii video hapa chini alivyorusha kiatu
0 Comments