Kama wewe ni mpenzi wa burudani utataka kujua ni nyimbo gani kali zinazofanya vizuri Africa, April 7 2016 Trace TV wametuletea list ya ngoma kumi kali kutoka Afrika kupitia chat zao za Africa 10, East Africa ziko nne.
10. Phyno – Ezege Imewekwa kwenye mtandao wa Youtube March 11 2016 (ina siku 27 mpaka sasa ) imetazamwa mara 115,674
9. Navy Kenzo – Kamatia– imewekwa kwenye mtandao wa Youtube January 27 2016 (siku 70 mpaka sasa) na kutazamwa mara 649,818
8. Royal – Eddy Kenzo ft Patoranking–imewekwa kwenye mtandao wa Youtube February 14 2016( siku 53 mpaka sasa) na kutazamwa mara 649,818
7. Zero Competition -Skuki –imewekwa kwenye mtandao wa Youtube February 15, 2016 (siku 54 mpaka sasa) na kutazamwa mara 260,834.
6.Tiwa Savage ft. Olamide – Standing Ovation imewekwa kwenye mtandao wa Youtube January 14, 2016( siku 82 mpaka sasa) na kutazamwa mara 1,790,992
- Sauti Sol and Alikiba – UnconditionallyBae imewekwa kwenye mtandao wa Youtube March 10, 2016 (siku 28 mpaka sasa) na kutazamwa mara 1,078,280
4. Patoranking – Another Level –imewekwa kwenye mtandao wa Youtube February 6 2016 (siku 63 mpaka sasa) na kutazamwa mara 647,152
3.OSINACHI (Remix) – Humblesmith ft. Davido–imewekwa kwenye mtandao wa Youtube January 31, 2016 (siku 67 mpaka sasa) na kutazamwa mara 1,171,103
2. AY feat. Diamond Platnumz – Zigo Remix –imewekwa kwenye mtandao wa Youtube January 22, 2016 (siku 76 mpaka sasa) nakutazamwa mara 5,458,640
- YCEE – OMO ALHAJI–imewekwa kwenye mtandao wa Youtube February 9 2016 (siku 61 mpaka sasa) na kutazamwa mara 365,412
0 Comments