Unaambiwa hizi ni tabia 8 za watu wapole… hebu tazama ujaribu kulinganisha

Tunaishi kwenye dunia ambayo binadamu wanatofautiana kifikra, kitabia na kwenye vitu vingine… sasa leo December 15 mtaalamu wa saikolojia kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam  Chris Mauki ametoa hizi tabia nane za watu wa pole, zitazame uone kama zinakugusa au kumgusa yeyote unaemfahamu.
  1. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji
  2. Ni rahisi kuwaamini
  3. Wako tayari kutoa msaada.
  4. Ni wazuri kuwa nao kama marafiki
  5. Ni wasikilizaji wazuri
  6. Wanazielewa hisia za wengine
  7. Wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu
  8. Ni wagunduzi.
Chris Mauki
Chris Mauki

Post a Comment

0 Comments